PreGE2025 Elizabeth Mambosho: Akina Kigaila walizoea kufanya biashara ya Siasa, lakini sasa duka limefungwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kigaila banaaaa ukikaona sura yake TUU UNATAMBUA HUYU MZEE SI MZIMA kale ka MKE kake katapitia wap VITI MAALUMU
 
Walioumia sana ni Salim Mwalimu na Benson Kigaila wake zao walikuwa wanakunja laki tatu kila siku bungeni.
Wengine ni wale professional viti maalum kama Grace Kiwelu.
 
Ana vitu huyu na ni hazina kwa Tanganyika na vizazi vijavyo Mungu amlinde wale watekaji, wachawi, wauaji kutoka nzi wa kijani kamwe wasifanikiwe kumdhuru na kamwe asiingie tamaa baadae bali awe imara kulitumikia kusudi la Mungu aliloitiwa hapa duniani ameeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…