Elizabeth Michael (Lulu) abeba ujauzito wa Majizzo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
ELIZEBERT MICHAEL (LULU) ABEBA UJAUZITO WA MAJIZO

Mwigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Elizebert Michael ambaye pia ni maarufu kwa jina la Lulu hatimaye ni mjamzito na hivi karibuni atajifungua mtoto wake wa kwanza.

Lulu ametumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha hiyo kitu ambacho kila mtu amempongeza kwa hatua hiyo.

Hata hivyo baadhi ya watu wanapenda kujua Baba wa Mtoto atakaye zaliwa ila kwa habari kutoka kwa watu wa karibu Baba wa Mtoto ajaye ni Majizo ambaye ni Mkurugenzi wa EFM Radio na TV

Mwaka jana 2018 Mwezi wa 9 Tarehe 30 Fransic Siza ambaye ndio Majizo aliamua kumvisha Lulu pete ya Uchumba hii ni baada ya Lulu kumaliza kifungo chake Gerezani cha kumuua Steven Kanumba bila ya kukusudia.

 
Kwa hiyo nayo habari? Siku LuLu akijamba utatuletea hapa jamvini Lulu ajamba ushuzi wa yusuuufuuuuuu.

Bure kabisa...
Lulu kujamba mpaka jirani asikie ni habari au hujui maana ya celebrity? Kama unataka kujenga uchumi kuna jukwaa lake kama unataka siasa kuna jukwaa lake, usifikiri MELLO alikuwa fala kuweka haya majukwaa,..
 
Si unataka kiki, hata kwa skendo za kufariki/

sasa niskize nakupa hiki kisa, Wema sepetu na idrisa/

kabla ya ommy dimpoz kufungiwa ibiza, naskia hata ile mimba waliigiza/

I see me, sometimes i see jesus/
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee kumbe na ww ni mtamaduni ...Nikki mbishi ni [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…