Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...acha hizo wewe..Atazaa kwa operasioooo huyu,maana alivyo andunje(mfupi) au kijeba.
Hata ukienda nae disco Ili mcheze blues lazima umuwekee stuli apande,vinginevyo atakukumbatia kwenye miguu.
😩 😩 😩 😩Qn solved , dat kid has bcome goat
🤷♀️🤷♀️So do I
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nayo habari? Siku LuLu akijamba utatuletea hapa jamvini Lulu ajamba ushuzi wa yusuuufuuuuuu.
Bure kabisa...
Mwaka sasa toka tuhabarishwe hii habari. Vipi, alishazaaaaaaaaa?Ndugu Sky Eclat nataman kupata updates za ujauzito wa Lulu
Mwaka sasa toka tuhabarishwe hii habari. Vipi, alishazaaaaaaaaa?