Elizabeth Michael (Lulu) abeba ujauzito wa Majizzo

kwaiyo tufanyaje csa wakati wawili hao wanajulikana na pete walishaveshana, kwani wamefanya kosa au mm ndio sijaelewa hii post maanake ni nn?
 
Atajifungua kitoto cha kike, watamwita Jezebel!

Isabela kwa kiswahili.
 

Hivi kupata uajuzito ni jambo la kutangaza tangaza tu? Linatusaidia nini kujua kuwa ni mja mzito?

Kwani hakuna watu wengine ambao ni wajawazito lakini hawajajitangaza humu?
 
Tuzae Kwenye Awamu Yangu Mimi Watu Wazae
Elimu Bure, Unajua Saa Nyingine Wavivu Wa Kufanya Kazi Hata Uzazi Wenyewe Utakataa

Hivi Uhamiaji Wameajiri Watu Wasio Na Mikono
Kwanini Mnataka Mlango Wa Remote
Kule Nyumbani Kwenu Mbona Mnabeba Vitu Vizito
 
Kama Majizo kapakaziwa mimba hiyo?
 
Hivi alikuwa amevimbiwa na kujaa uzito au kafula tuu mbona mimba haikui?
 
Atazaa kwa operasioooo huyu,maana alivyo andunje(mfupi) au kijeba.
Hata ukienda nae disco Ili mcheze blues lazima umuwekee stuli apande,vinginevyo atakukumbatia kwenye miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…