Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Andrew Nyerere alikuwa anahuzunika sana akiona Lulu anafungwa.

Andrew ni humanitarian halafu ni ordained Buddhist priest.

Halafu mtu mzima,huyu ni kama binti yake mdogo sana,hivyo alihuzunika sana kuona Lulu anafungwa.
Atamsaidia asifungwe
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] humjui lulu kumbeee!ni kahaba haswa chui ktk ngozi ya kondoo
downloadfile.jpeg
lulu.jpeg
enzi zilee
 
Kibubu chake kinamfanya atuone hatujui sheria!!?

Dharau mbaya, atapumuliwa shingoni na kila kada, wanasiasa, mipolisi, makarani, mahakimu, mabwanajela n.k n.k.

Mungu amrehemu.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanumba alikuwa hatari kwa jamii, maana kaanza kukitafuna kilulu tangu kikiwa kitoto. Who knows, labda angekuwepo mpaka leo angemuona Lulu mzee angekuwa anatafuna vitoto vingine visivyokuwa na matiti. Yule jamaa alikuwa Paedophile.
Kabisa mkuunasikitika kwamba ubakaji na kunajisi ni kosa na wengi hata akina babu seya wanasota gerezani,Kanumba aliyafanya yote hayo na akaaga dunia bila kupata malipo yake.Mungu atampa haki yake inshalaah
 
Hawezi shinda ushahidi Iko wazi kabisa ,yaani hata kifungo cha mwaka mmoja hawezi kukikwepa kwa kosa la kuja bila kukusudia .Hilo kosa halina faini ni jera tu
Atashinda usanii mwingi!
 
Mpenda amani, Mzee wa makamo ya baba yake, alikuwa analalamika hapa haoni mantiki ya kumfunga Lulu.
[emoji1] [emoji1] wakati kaua!?!!walikua wapi alivyokua anaisho hovyo vile mpk anaacha shule?!!!
 
Kila mtu ana historia yake nzuri ama mbaya, kuwa na historia mbaya hakumzuii mtu kubadirika na kuwa mtu mwema.
Uwa nashangaa watu wakisikia flani siku hizi katulia wanaanza fukua picha na mambo yake ya zamani na kusema alikuwa vile alikuwa hivi.
Wengi waliobadirika na kuwa watu wema, historia yao inaonyesga walikuwa waovu..
Luka 5:32 Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.
 
Atashinda usanii mwingi!

Duh ntaamini sheria yaweza pinda kweli na majaji watajiabisha aisee, au watumie kigezo cha kwamba alikuwa chini ya miaka 18 achapwe viboko hahahaha au aende jela ya watoto (wakati ni mtu mzima sekta ya kungonoka zaidi ya Zari )
 
Dah!amefaidi puberty huyuuuu acha tu!!ama kweli shetani akizeeka anakua malaika
nlikua namuogopa aisee..si kwa matendo yale..
ila segerea kidogo ilimpa nidhanu..
najiuliza kama asingepitia msala wa kanumba angekuwaje hivi sasa?
 
Na wala hakumkuta virgin dogo kaanza michezo kabla ya kanumba na ndo maana aliacha shule


Kukosa bikira siyo certificate ya kubogozoa watoto. Huwezi kumwambia jaji utetezi kama huo akakuacha salama.
 
Back
Top Bottom