[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] humjui lulu kumbeee!ni kahaba haswa chui ktk ngozi ya kondooNikimtazama anavyo vaa siku hizi, nilikuwq namuona kama Zari wa kesho, kumbe mjuaji?
Atamsaidia asifungweAndrew Nyerere alikuwa anahuzunika sana akiona Lulu anafungwa.
Andrew ni humanitarian halafu ni ordained Buddhist priest.
Halafu mtu mzima,huyu ni kama binti yake mdogo sana,hivyo alihuzunika sana kuona Lulu anafungwa.
Atamuombea.Atamsaidia asifungwe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] humjui lulu kumbeee!ni kahaba haswa chui ktk ngozi ya kondoo
YAANI ANA NYODO BALAAANa akishinda watamkoma waliokua wanamuombea afungwe maana ana mdomo mchafu huyu binti!!
Kibubu chake kinamfanya atuone hatujui sheria!!?
Dharau mbaya, atapumuliwa shingoni na kila kada, wanasiasa, mipolisi, makarani, mahakimu, mabwanajela n.k n.k.
Mungu amrehemu.
Sana tuKifo cha kanumba kiliuma mnooo
Kabisa mkuunasikitika kwamba ubakaji na kunajisi ni kosa na wengi hata akina babu seya wanasota gerezani,Kanumba aliyafanya yote hayo na akaaga dunia bila kupata malipo yake.Mungu atampa haki yake inshalaahKanumba alikuwa hatari kwa jamii, maana kaanza kukitafuna kilulu tangu kikiwa kitoto. Who knows, labda angekuwepo mpaka leo angemuona Lulu mzee angekuwa anatafuna vitoto vingine visivyokuwa na matiti. Yule jamaa alikuwa Paedophile.
Yeye kama nani yake?Hawa wanatafuta ugomvi na Andrew Nyerere.
Dah!amefaidi puberty huyuuuu acha tu!!ama kweli shetani akizeeka anakua malaika
Na akishinda watamkoma waliokua wanamuombea afungwe maana ana mdomo mchafu huyu binti!!
Mpenda amani, Mzee wa makamo ya baba yake, alikuwa analalamika hapa haoni mantiki ya kumfunga Lulu.Yeye kama nani yake?
Atashinda usanii mwingi!Hawezi shinda ushahidi Iko wazi kabisa ,yaani hata kifungo cha mwaka mmoja hawezi kukikwepa kwa kosa la kuja bila kukusudia .Hilo kosa halina faini ni jera tu
[emoji1] [emoji1] wakati kaua!?!!walikua wapi alivyokua anaisho hovyo vile mpk anaacha shule?!!!Mpenda amani, Mzee wa makamo ya baba yake, alikuwa analalamika hapa haoni mantiki ya kumfunga Lulu.
Atashinda usanii mwingi!
nlikua namuogopa aisee..si kwa matendo yale..Dah!amefaidi puberty huyuuuu acha tu!!ama kweli shetani akizeeka anakua malaika
Na wala hakumkuta virgin dogo kaanza michezo kabla ya kanumba na ndo maana aliacha shule