Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Mungu amfanyie wepesi katika Mapito yake,I feel sorry for her coz umri wake na kesi iliyoko mbele yake haviendani kabisa.
 
Angedaka mimba ya fasta ......mjamzito hafungwi

wakati wa utetezi na maombolezo wakili wake

angechomekea hiyo fact
 
Hiyo kuua bila kukusudia huwa ni deal la kumwokoa mtu na mahabusu. Utajuaje mtu ameua bila kukusudia kabla hata kesi haijahukumiwa? Huo ni usanii wa kisheria. Na kwa kuwa watu wengi ni mbumbumbu kwenye masuala ya kisheria basi wanadanganyika kiurahisi sana.
Mfano nwingine kwenye usanii wa kisheria huwa eti kitu kikiwa mahakamani hutakiwi kukizungumzia....why?
Kwani mahakamani ni mbinguni kwa Mungu? Ni kifungu gani cha sheria kinakataza kuzungumzia suala lililopo mahakamani?
Mimi nikiwa mbunge nitakwenda bungeni kuhoji uhuni huu wa kisheria. Inaudhi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…