Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Elizabeth Michael (Lulu) afunguka haya juu ya kesi yake

Kanumba alikuwa hatari kwa jamii, maana kaanza kukitafuna kilulu tangu kikiwa kitoto. Who knows, labda angekuwepo mpaka leo angemuona Lulu mzee angekuwa anatafuna vitoto vingine visivyokuwa na matiti. Yule jamaa alikuwa Paedophile.
Hahahah we jamaa ni GT wakutosha
 
Chezea skin foundation wewe. Saloon treatments hizo. Kutana naye asubuhi kabla ya kuoga utarudi hapa kufuta comment yako.
hahahaaaaa, pamoja na hayo ata uziri anao hata bila hayo ma salon.
lulu-1.jpg



lulu3.PNG
 
Mama yake mwenyewe w.end hii alikua anapiga huko Mbezi ya juu kwenye bar na mwenzie baada ya kulewa mama bd anajiuza nae
Wanapenda sana Gambe hao wamama!

Kibaya zaidi hadi sura zao zimechakaa kwa kilevi na hawajishtukii
 
Mpo nae mavumbini?,mwambie aseme jambo kakaa sana kimya?
Analaani kitendo cha Lulu kumpelekea mabwana zake awaone laivu.
Kitendo hicho kinampa wakati mgumu sana.

Ameahidi kuliamsha dude one day.
 
Ikiwa imebakia siku moja kuanza kusikilizwa tena kwa kesi ya mauaji ambayo inamkabili, msanii Elizabeth Michael (Lulu) amesema yupo tayari kukabiliana na kesi hiyo, ambayo alijua ipo siku itarudi tena.

20589849_160943114475922_2222556347734425600_n.jpg


Lulu ameyasema hayo leo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa alikuwa na taarifa ya kesi hiyo kabla watu hawajaipata kwenye mitandao, na utaratibu wa kisheria ulifuatwa.

“Unajua watu hawajui sheria, kesi haikuwahi kuisha ni pocedure ya kawaida ya mahakama imefuatwa na ni muda wake umefika sasa , siyo kama imeibuka tu, na kwasababu mimi ndiye muhusika nimepata taarifa kwa njia ya kisheria siyo kama nyie kwenye mitandao, na pengine niliipata kabla yenu”, amesema Lulu.

Lulu ameendelea kusema kwamba kuwepo kwa kesi hiyo kunamuathiri kwa kiasi kikubwa kwenye kazi zake na maisha yake kiujumla. Kesi inayomkabili muigizaji huyo wa bongo movie inatarajia kusikilizwa tena kesho Oktoba 19, 2017 baada ya kuwa nje kwa dhamana kwa muda mrefu.

Elizabeth Michael (Lulu) anakabiliwa na kesi ya kusababisha kifo bila kukusudia cha aliyewahi kuwa muigizaji wa filamu nchini, Steven Kanumba, mnamo April 7, 2012 .



EATV
Malaika wa kifo....! Pole Liz hili nalo litapita
 
"Na nikitaka mke jasiri,Nitatuma mshenga kwa lulu"-Stamima
 
Nyuma ya keyboard kila mtu msafi na mtoa hukumu!
umeona enh!
yani huyu binti WANASAHAU MAZINGIRA ALIYOJIKUTA ANAKUA NDIYO YALIYOMPLEKA AKAWA NA PAST HIYO NA PENGINE PRESENT!
MTOTO ALIYEKUZWA KWENYE LINDI LA UFUSKA NA KUTAMNBULISHWA KWENYE JAMII INAYOMTAZAMA KAMA MKUBWA (IKIWEMO MAMA YAKE MZAZI)
TULITEGEMEA AWEJE TOFAUTI NA HAPA!
TENA KWANZA AMEJITAHIDI SANA KURUDI ANGALAU KUTULIA!
NIKILINGANISHA MAISHA AMBAYO AMEPITIA HUYU ANA KISASI NA JAMII YAKE NA NDO MANA NI KAMA MTU ASIYEJALI SANA!
HATA WAKIMFUNGA BADO KASHAJIVUNJIKIA NDANI WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
ATABAKI ANAINGIA GEREZANI TU LAKINI NI KAMA AMESHAZIRA FLAN HIVI!
watu wanamuona SHE IS UNBREAKABLE NA YANAYOMKUTA!
lakini AMESHAJICHOKEA !
ni ile tunasema WAT EVER COME MAY!
 
Back
Top Bottom