witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Amekuwa mbaya huyo now ....mkorogo ule chaaa!Mwe nimemkumbuka Sinta wa Jumanature , Sinta wa uende salama Betyy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa mbaya huyo now ....mkorogo ule chaaa!Mwe nimemkumbuka Sinta wa Jumanature , Sinta wa uende salama Betyy
Wewe mzuri kama hio avatar yako?Amekuwa mbaya huyo now ....mkorogo ule chaaa!
Thank uu for this!umeona enh!
yani huyu binti WANASAHAU MAZINGIRA ALIYOJIKUTA ANAKUA NDIYO YALIYOMPLEKA AKAWA NA PAST HIYO NA PENGINE PRESENT!
MTOTO ALIYEKUZWA KWENYE LINDI LA UFUSKA NA KUTAMNBULISHWA KWENYE JAMII INAYOMTAZAMA KAMA MKUBWA (IKIWEMO MAMA YAKE MZAZI)
TULITEGEMEA AWEJE TOFAUTI NA HAPA!
TENA KWANZA AMEJITAHIDI SANA KURUDI ANGALAU KUTULIA!
NIKILINGANISHA MAISHA AMBAYO AMEPITIA HUYU ANA KISASI NA JAMII YAKE NA NDO MANA NI KAMA MTU ASIYEJALI SANA!
HATA WAKIMFUNGA BADO KASHAJIVUNJIKIA NDANI WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
ATABAKI ANAINGIA GEREZANI TU LAKINI NI KAMA AMESHAZIRA FLAN HIVI!
watu wanamuona SHE IS UNBREAKABLE NA YANAYOMKUTA!
lakini AMESHAJICHOKEA !
ni ile tunasema WAT EVER COME MAY!
Nshaenda shoga angu weer[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125]Nenda Pm sasa
NAOMBENI HUO UMBEA JAMANI PULIIIZNshaenda shoga angu weer[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]NAOMBENI HUO UMBEA JAMANI PULIIIZ
naombeni ahaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio avatar huyo ni witnessj originalWewe mzuri kama hio avatar yako?
Baraaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nshaenda shoga angu weer[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...hapitwii[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dunia hiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mungu ninusuru Mimi na wananguBaraaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kanakunya bagia hahahahah![]()
Katoto kazuri utafikiri hakanyi.
Mashallah!Sio avatar huyo ni witnessj original
Na ni wapi nimesema mi mzuri?
comments kama hizi ni adimu sana kwa MAREHEMUKanumba alikuwa hatari kwa jamii, maana kaanza kukitafuna kilulu tangu kikiwa kitoto. Who knows, labda angekuwepo mpaka leo angemuona Lulu mzee angekuwa anatafuna vitoto vingine visivyokuwa na matiti. Yule jamaa alikuwa Paedophile.
Kama na wewe Nina lako linaanza na K kisha habari yakoWala sio hivyo, ni nyota yake tu chafu inatakiwa kuoshwa. Nyota ya mauhusiano.
Madam hilo zegembe kwenye avatar ni letu au tumelipakua tu somewhre?Poa naja now