GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Halafu si ndio huyu kwenye uzi wake fulani ameandika kwamba anapitia maisha magumu?Tafuta mgahawa wowote, agiza msosi wa nguvu bill juu yangu,
Kama hutaamini tuma namba sasa hivi utapokea msg ya World Remit ukale,
Njaa inakusumbua kijana i can understand you.
Lol.
Hebu angalia ule uzi. Kuna uhusiano mkubwa kati ya hasira zake na maisha yake magumu!
Sent using Jamii Forums mobile app