Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya raisi Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa raisi.
Mtangazaji huyo ameiambia hadhira huko Cheltenham, Kwamba maisha uingereza ni mazuri.
Ellen amesema yeye na Mke wake Portia De Rossi wamepanga kufunga ndoa tena kwa mara nyingine huko uingereza, baada ya nchi ya marekani kuziminya haki za ndoa ya jinsia moja.
Ameongeza kwa kusema marekani haitaki watu wawe kama vile walivyo na kutaka kuwapangia maisha.