Ellie Mpanu: Sina hofu na timu yoyote tutakayopangwa nayo Nusu Fainali CAF

Ellie Mpanu: Sina hofu na timu yoyote tutakayopangwa nayo Nusu Fainali CAF

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Nyota wa mchezo wa leo Ellie Mpanu alizungumza baada ya dakika 90' kumalizika.

Mpanzu " Namshukuru Mungu kwa hatua kubwa tuliyopiga kwa kufika hatua ya nusu fainali na ukiangalia Misimu 5 ni mingi sana hiki ambacho tumekifanya leo kwa uwezo wa Mungu tutafanya hatua inayofuata."

Soma Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

 
Back
Top Bottom