Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ngoja niwahi kibanda umiza. Nikamuone mpangu. Hofu yangu tu isijekuwa ni version mutale huyu 😁Nipo nimeshika rimoti hapa, watoto wasije niwekea katuni wakati nataka kumuona Mpanzu
Mtu ana miaka 43 uwe usajili Bora..Leo Mpanzu ataanza safari yake ya mpira akiwa Msimbazi pale Simba inakapoumana na Kagera sugar .
Hakika huu utakuwa usajili bora wa muda wote kutokana ya aina ya uchezaji wake na nafasi anazoweza kucheza uwanjani .
Hongera mama mpanzuMtu ana miaka 43 uwe usajili Bora..
Eden Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu
🤣🤣🤣Mtu ana miaka 43 uwe usajili Bora..
Eden Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu
Bado hamjasema [emoji23][emoji23]Hongera mama mpanzu
wachawi huwa hawakosekanjUchezaji wake unafanana na Yacouba Sogne, work rate kubwa output sifuri.
KIHASIBU.