Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani miaka ya nyuma kabla kuamua kuingia mambo ya siasa.
Kabla ya uchaguzi raisi Trump alipojiona ana ukata mkubwa wa kifedha na hata alipojaribu kuuza vitu kijanja janja hakuwweza kukushanya pesa ambazo zingemtosha kugharimia kampeni za uchaguzi.Ndipo akawavuta matajiri wakubwa wa nchi hiyo kuwa upande wake akiwaahidi kuwapatia fursa kadhaa walizokuwa wakiziwazia.
Ellon Musk ndiye aliyeingia kichwa kichwa ambapo aliachia utajiri wake mkubwa umtumikie Trump na akapewa nafasi ya uongozi ndani ya Ikulu ambayo si rasmi,eti kupunguza matumizi ya serikali (DOGHE).
wamarekani walio wengi waliujua mchezo huu na wakamfanyia vituko mbali mbali Ellon Musk ambavyo vilisababisha kuporomoka kwa biashara zake na kuandamwa na mikosi chungu nzima. karibuni kabisa ikiwa ni kuriputa kwa satelite yake wakati ikirushwa angani,
Baada ya yote hayo Ellon sasa ametangaza rasmi kuondoka ikulu ya Marekani na si minongono tena.Amemshukuru sana raisi Trump kwa yote aliyomfanyia na ushirikiano wake.

Elon Musk announces departure from US President Trump’s administration​

Huyo ni mwafrika na akili za South Africa tu
Ndio maana akatumiwa kama toilet paper kama ME na wajinga wa huko
Trump anajua maslahi yake zaidi

Huyu huyu mzee ndio alikuwa mshikaji mkubwa wa Putin na Nyau leo yako wapi

Trump anaangalia kwenye hela tu ndio maana sisi anatudharau sana
 
Utajiri wa Elon musk umeporomoka una-uhakika ?

Partnership ya Trump na Musk ina Cards ambazo hazikai juu ya meza .
 
siku zake zimeisha . kuwa advisor permanent you need security clearance. including everything from tax to every thing.

maximum for special government work ni 130 days

musk kasha maliza. sio kwamba anasepa. utamwona Sana white house sana
 
Huyo ni mwafrika na akili za South Africa tu
Ndio maana akatumiwa kama toilet paper kama ME na wajinga wa huko
Trump anajua maslahi yake zaidi

Huyu huyu mzee ndio alikuwa mshikaji mkubwa wa Putin na Nyau leo yako wapi

Trump anaangalia kwenye hela tu ndio maana sisi anatudharau sana
wewe ni maximum days ni 130 days. it has nothing do na siasa zako za mchangani.

tafuta elimu
 
Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani miaka ya nyuma kabla kuamua kuingia mambo ya siasa.
Kabla ya uchaguzi raisi Trump alipojiona ana ukata mkubwa wa kifedha na hata alipojaribu kuuza vitu kijanja janja hakuwweza kukushanya pesa ambazo zingemtosha kugharimia kampeni za uchaguzi.Ndipo akawavuta matajiri wakubwa wa nchi hiyo kuwa upande wake akiwaahidi kuwapatia fursa kadhaa walizokuwa wakiziwazia.
Ellon Musk ndiye aliyeingia kichwa kichwa ambapo aliachia utajiri wake mkubwa umtumikie Trump na akapewa nafasi ya uongozi ndani ya Ikulu ambayo si rasmi,eti kupunguza matumizi ya serikali (DOGHE).
wamarekani walio wengi waliujua mchezo huu na wakamfanyia vituko mbali mbali Ellon Musk ambavyo vilisababisha kuporomoka kwa biashara zake na kuandamwa na mikosi chungu nzima. karibuni kabisa ikiwa ni kuriputa kwa satelite yake wakati ikirushwa angani,
Baada ya yote hayo Ellon sasa ametangaza rasmi kuondoka ikulu ya Marekani na si minongono tena.Amemshukuru sana raisi Trump kwa yote aliyomfanyia na ushirikiano wake.

Elon Musk announces departure from US President Trump’s administration​

this is fake news.
 
Back
Top Bottom