Elly Sasii Anaponaje Mara hii?

Elly Sasii Anaponaje Mara hii?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa yale aliyoboronga mechi ya jana leo tokea asubuhi redio karibu zote na mijadala mingi ya kumkosoa imeibuka na kuendelea hadi mida hii karibu katika kila kipidi cha michezo

Ni wakati sasa tuwaone bodi ya ligi ikimshughulikia huyu mwamuzi ambaye kumbe inasemekana hata miaka ya nyuma alishawahi kupigwa ban,lakini bado anarudia madudu yale yale,huyu mtu anadhoofisha maendeleo ya soka letu aadhibiwe safari hii.
 
Nimeangalia msimamo wa ligi hapa sijaona hiyo timu uliyoitaja.
Ok

FMQruzUWQAQB9qe.jpeg
 
Ile penati hakutakiwa kabisa kung'ata filimbi. Azam wamenyimwa ushindi wa wazi kabisa.
Mwamuzi kama huyu anaachwaje?imagine yule Kibu ameuzuia mpira kwa mikono juu mbele yake...aisee jamaa ana mapenzi makubwa sana
 
Ni ajabu badala ya kuwa na shauku na mugalu au Kagere ambao hata magoli kumi hawakufikisha unaangaika na Mayele ambaye ana goli zaidi ya kumi
[emoji3][emoji3] aisee jibu sahihi kabisa hebu pata bia mbili hapo bili kwangu hawa mikia hawa wanga wakubwa...hawana timu kabisa
 
Back
Top Bottom