ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa yale aliyoboronga mechi ya jana leo tokea asubuhi redio karibu zote na mijadala mingi ya kumkosoa imeibuka na kuendelea hadi mida hii karibu katika kila kipidi cha michezo
Ni wakati sasa tuwaone bodi ya ligi ikimshughulikia huyu mwamuzi ambaye kumbe inasemekana hata miaka ya nyuma alishawahi kupigwa ban,lakini bado anarudia madudu yale yale,huyu mtu anadhoofisha maendeleo ya soka letu aadhibiwe safari hii.