ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Makolo wataongoza lini ligi mzimu huu?Mayele atafunga lini?
Nimeangalia msimamo wa ligi hapa sijaona hiyo timu uliyoitaja.Makolo wataongoza lini ligi mzimu huu?
OkNimeangalia msimamo wa ligi hapa sijaona hiyo timu uliyoitaja.
Kesho ijumaa tunatetema..Mayele atafunga lini?
Ni ajabu badala ya kuwa na shauku na mugalu au Kagere ambao hata magoli kumi hawakufikisha unaangaika na Mayele ambaye ana goli zaidi ya kumiMayele atafunga lini?
Mwamuzi kama huyu anaachwaje?imagine yule Kibu ameuzuia mpira kwa mikono juu mbele yake...aisee jamaa ana mapenzi makubwa sanaIle penati hakutakiwa kabisa kung'ata filimbi. Azam wamenyimwa ushindi wa wazi kabisa.
Tena sio bahati mbaya ni makusudi kabisaMwamuzi kama huyu anaachwaje?inagine yule Kibu ameuzuia mpira kwa mikono juu mbele yake...aisee jamaa ana mapenzi makubwa sana
[emoji3][emoji3] aisee jibu sahihi kabisa hebu pata bia mbili hapo bili kwangu hawa mikia hawa wanga wakubwa...hawana timu kabisaNi ajabu badala ya kuwa na shauku na mugalu au Kagere ambao hata magoli kumi hawakufikisha unaangaika na Mayele ambaye ana goli zaidi ya kumi
Mlipiga bomu mochwaliMakolo wataongoza lini ligi mzimu huu?
Na utopolo ni shabiki lialia wa machura fc wazee wa kona goli
Tarehe 28 tunalipiga tena bomuMlipiga bomu mochwali