Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Ndio jamaa huyo hapo

Hapo atambeba nani?
---

1722964381635.png
Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa.

Aidha Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union utakaopigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar Agosti 8, 2024.

EATV
 
Uko unaandika na unatembea, kwanini usikae kwanza?
 
Hii mechi hata akichezesha MO kama center referee,vibendera Mangungo na Try again wa mezani awe Ahmed Ally na kamishna awe Kajula na mtathmini wa waamuzi awe Julio,Yanga anashinda
 
Hii mechi hata akichezesha MO kama center referee,vibendera Mangungo na Try again wa mezani awe Ahmed Ally na kamishna awe Kajula na mtathmini wa waamuzi awe Julio,Yanga anashinda
Tunza akiba ya maneno..najua kwa simba hii hamna amani hapo utopoloni..
 
Tunza akiba ya maneno..najua kwa simba hii hamna amani hapo utopoloni..
Mkuu Simba ipi hiyo,umeiona wapi? Kama mnategemea kuwanga na mnahisi ni silaha yenu ya kuwasaidia sawa lakini kama mpira unachezwa kwenye principles zake huoni namna mnapata matokeo,hata wewe unaajikaza tu kulinda chama lako
 
Dogo huwa ananichekesha na ile tabia yake ya kuwakoromea wachezaji kwa kuwatolea macho.
 
Mkuu Simba ipi hiyo,umeiona wapi? Kama mnategemea kuwanga na mnahisi ni silaha yenu ya kuwasaidia sawa lakini kama mpira unachezwa kwenye principles zake huoni namna mnapata matokeo,hata wewe unaajikaza tu kulinda chama lako
Hunitoa kwny reli...kwa ss mnalazimisha mambo...nadhani umejionea mwenyewe vyuma..ww sema kesho mpira utaamua..
Kuhusu wanga basi nyie leteni majini yenu tuyavuruge...
 
Back
Top Bottom