Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

Hunitoa kwny reli...kwa ss mnalazimisha mambo...nadhani umejionea mwenyewe vyuma..ww sema kesho mpira utaamua..
Kuhusu wanga basi nyie leteni majini yenu tuyavuruge...
Kama ni vyuma vya pua sawa haina shida,tukitane kwa Ben
 
Hapo vip!!
Ndio jamaa huyo hapo

Hapo atambeba nani?
---

Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa.

Aidha Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union utakaopigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar Agosti 8, 2024.

EATV
Samahani naomba niulize hivi Tanzania tuna uhaba wa waamuzi mbona ikija mechi kubwa kama hizi rotation ya waamuzi huwa ile ile

Asipokuwa huyu basi ujue sijui kayoko mara nani lakini wale wale, na aghalabu kukuta tofauti na hawa
 
Kumbe mechi inaenda kuchezwa zanzibar. Siwez angalia mechi inayochezwa zanzibar [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom