Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

Hunitoa kwny reli...kwa ss mnalazimisha mambo...nadhani umejionea mwenyewe vyuma..ww sema kesho mpira utaamua..
Kuhusu wanga basi nyie leteni majini yenu tuyavuruge...
Kama ni vyuma vya pua sawa haina shida,tukitane kwa Ben
 
Samahani naomba niulize hivi Tanzania tuna uhaba wa waamuzi mbona ikija mechi kubwa kama hizi rotation ya waamuzi huwa ile ile

Asipokuwa huyu basi ujue sijui kayoko mara nani lakini wale wale, na aghalabu kukuta tofauti na hawa
 
Kumbe mechi inaenda kuchezwa zanzibar. Siwez angalia mechi inayochezwa zanzibar [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kuna vitu vingine vinachekesha kweli balua ni wa kucheza na pakome?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…