Hizi timu nilishasema hazina haja ya kununua Waamuzi isipokuwa Waamuzi ni wabovu kupindikia. Nimekuwa mwamuzi Kwa madaraja ya Kati nikabanwa na shughuli binafsi za maendeleo nikaishia njiani. Eti hata wale niliokuwa nawaona viazi ndo wanasifika marefa Bora?Sasa hivi Azamu nao wamegundua shortcut mbona tutakoma
Hata mimi baada ya ile penalt ya mchongo sikutazama tena mpiraKweli msimu huu matajiri wameamua iwe mvua iwe jua. Nimejikuta nazima TV tu. Its hectic and boring.Poleni Ruvu Pole Mkwasa ndo mpira wa bongo huo.
Anaongoza michezo aliyocheza..michezo 12 dhidi ya tisa na kumi kwa wanaomfuatiaHivi Azam anaongoza lini sasa?
Haiwezi pita siku hamja mtaja kiboko yenuYusuf Bakhresa kaona bora atumie njia za Uto kupata ushindi.
Ndio michezo yenu wazee wa unbiten ya tigopesaAzam FC wamenyongwa sana acheni na wao walambe asali kidogo
Nan kabwili?Haiwezi pita siku hamja mtaja kiboko yenu
Mkisha kula unga mnawaza kulawitiwa tuNan kabwili?
Huyo Uto , ww uli mfunga lini?Yusuf Bakhresa kaona bora atumie njia za Uto kupata ushindi.