Ellysasii Penati Hii Leo Si Halali

Ellysasii Penati Hii Leo Si Halali

Tumekua tukimlalamikia sana huyu mwamuzi si mara moja kwa kuwabeba wapinzani wetu Kumbe huwa anafanya blanda hata na mechi nyingine,kwa kweli penati waliyopewa Azam leo dhidi ya zRuvu shooting nasema si halali.

Na sasa ifikia wakati ellisasii achukuliwe hatua kama wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi Azamu nao wamegundua shortcut mbona tutakoma
Hizi timu nilishasema hazina haja ya kununua Waamuzi isipokuwa Waamuzi ni wabovu kupindikia. Nimekuwa mwamuzi Kwa madaraja ya Kati nikabanwa na shughuli binafsi za maendeleo nikaishia njiani. Eti hata wale niliokuwa nawaona viazi ndo wanasifika marefa Bora?
 
Kweli msimu huu matajiri wameamua iwe mvua iwe jua. Nimejikuta nazima TV tu. Its hectic and boring.Poleni Ruvu Pole Mkwasa ndo mpira wa bongo huo.
Hata mimi baada ya ile penalt ya mchongo sikutazama tena mpira
 
Hata ile Penati ya Azam ya mechi ya juzi ilikuwa ya mchongo
 
Back
Top Bottom