Elon Musk aelezea kwa nini nchi za Dunia ya 3 zinazaliana kwa wingi

Elon Musk aelezea kwa nini nchi za Dunia ya 3 zinazaliana kwa wingi

Elon Musk ana watoto 14 wanaojulikana kwa wanawake 4 tofauti
anasemaje kuhusu hilo?
 
Yeye mwenyewe ana watoto 14 kazaa na wanawake tofauti, anataka kusema nini tena kuhusu kuzaliana sisi wa afrikaa...yeye mwenyewe ni muafrika wa asili kabisa
Huyo ni tajiri namba 1 duniani,hata akizaa watoto 100
 
Ni kwamba gharama ya kuwa na mtoto hizo nchi tajiri ni kubwa sana. Paradoxically, wenye hela ndiyo wanashindwa kumudu gharama za kuwa na watoto.
 
Hapana sio kweli
Ni kwamba nchi zilizoendelea zina capitalism sana ambayo inapelekea gharama za maisha kuwa kubwa kwa hiyo ni expensive kulea watoto kwa hiyo wengi wanaamua kuzaa watoto wachache
Kumbuka nchi zenye extreme capitalism zina kodi nyingi na karibia kila kitu wananunua na nyumba wengi wanapanga, so licha ya kuwa na mishahara mizuri bado gharama ni nyingi na ukiongeza na watoto ujipange sana kisaikolojia. Mfano mzuri USA

Elon Musk anaumia tu kuwa nchi tajiri watu hawazaliani na kwenye biashara zake wana faida kuliko watu wa nchi masikini
 
Elon Musk ana watoto 14 wanaojulikana kwa wanawake 4 tofauti
anasemaje kuhusu hilo?
Siku zote anasisitiza watu kuzaliana has Europe na US, otherwise civilisation yao inakwenda kufa.
 
Hatulinganishi maisha. Tunaongelea kuzaliana kama yeye asemavyo...
Yeye anazo pesa za ku- finance budget ya Tanganyika kwa miaka mitano,je wewe unao uwezo wa kuwahudumia hata watanganyika 1000 wale na kunywa na kuwapatia huduma muhimu!?

Yeye anazaa kwa kuwa anaweza hudumia
 
Yeye mwenyewe ana watoto 14 kazaa na wanawake tofauti, anataka kusema nini tena kuhusu kuzaliana sisi wa afrikaa...yeye mwenyewe ni muafrika wa asili kabisa
Ndugu mtu anayeweza lisha Dunia nzima hao watoto 14 si kitu wewe unaweza Lea watoto 14 na kipato chako hapo
 
Hizi ni Propaganda tu, Miaka ya 80-90
India walizaliana sana na Sasa ni nchi ya nne kwa Utajiri duniani(GDP) baada ya China, US na Germany..

Best human resources in the world are coming from China, India, US etc..

Ukiacha nchi zote zilizowatawala wengine na kuiba rasilimali..
Nchi zenye population kubwa zime prove kwamba it is possible to turn things around.

US anayoish yeye ina watu Mil 300++
Kwa Africa
1.Nigeria
2.Egypt
3.Ethiopia-
Proves the same-Popn Directly prop.to Dvs

Human resources is the best thing for development -
Uwoga wao ni replacement
 
Hizi ni propaganda tu huu uzushi kuhusu waafrica kuzaliana sana ni uongo mtupu .
Tukuanza kuhesabu idadi ya watu tunajikuta Africa ndio bara lenye watu wachache sana kuliko hata ukilinganisha bara lote na population ya nchi moja kama China au India.
Kwenye hizi propaganda huwezi kuta China, india usa au Indonesia zikiongelewa
 
Back
Top Bottom