Kumbuka huyo ni tajiri namba moja duniani.Elon Musk ana watoto 14 wanaojulikana kwa wanawake 4 tofauti
anasemaje kuhusu hilo?
Yeye mwenyewe ana watoto 14 kazaa na wanawake tofauti, anataka kusema nini tena kuhusu kuzaliana sisi wa afrikaa...yeye mwenyewe ni muafrika wa asili kabisaUdini mwingi + Elimu Duni + Umaskini (Kipato kidogo )= Uzaliana kwa wingi
Udini kidogo + Elimu Nzuri + Utajiri (Kipato kikubwa)= Uzaliana kwa uchache
View: https://www.instagram.com/reel/DRLsnfKAk0Z/?igsh=MTR1MXlqaGMyaWFnag==
Huyo ni tajiri namba 1 duniani,hata akizaa watoto 100Yeye mwenyewe ana watoto 14 kazaa na wanawake tofauti, anataka kusema nini tena kuhusu kuzaliana sisi wa afrikaa...yeye mwenyewe ni muafrika wa asili kabisa
Sasa wewe mkuu maisha yako yanalingana na Elon musk!?Yeye mwenyewe ana watoto 14 kazaa na wanawake tofauti, anataka kusema nini tena kuhusu kuzaliana sisi wa afrikaa...yeye mwenyewe ni muafrika wa asili kabisa
Siku zote anasisitiza watu kuzaliana has Europe na US, otherwise civilisation yao inakwenda kufa.Elon Musk ana watoto 14 wanaojulikana kwa wanawake 4 tofauti
anasemaje kuhusu hilo?
watzaliana saa ngapi na mapenzi ya jinsia moja!Siku zote anasisitiza watu kuzaliana has Europe na US, otherwise civilisation yao inakwenda kufa.
Hatulinganishi maisha. Tunaongelea kuzaliana kama yeye asemavyo...Sasa wewe mkuu maisha yako yanalingana na Elon musk!?
Yeye anazo pesa za ku- finance budget ya Tanganyika kwa miaka mitano,je wewe unao uwezo wa kuwahudumia hata watanganyika 1000 wale na kunywa na kuwapatia huduma muhimu!?Hatulinganishi maisha. Tunaongelea kuzaliana kama yeye asemavyo...
Ndugu mtu anayeweza lisha Dunia nzima hao watoto 14 si kitu wewe unaweza Lea watoto 14 na kipato chako hapoYeye mwenyewe ana watoto 14 kazaa na wanawake tofauti, anataka kusema nini tena kuhusu kuzaliana sisi wa afrikaa...yeye mwenyewe ni muafrika wa asili kabisa