Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
JF kuna raha sana kwakweli.😄😄Ni kweli lakini sasa Elon baada ya kufanikiwa kuimiliki Twitter kwa asilimia 100 ataweza kuitumia kama chombo chake cha kufanyia manipulation yaani ni sawasawa na ONTARIO angekuwa anaimiliki JF kipindi kile cha kudownload pesa