Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake mtaani bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya 80 na 90 Musk hakuwahi pata kashikashi zozote za Uhamiaji na baadaye akaweza kujipatia uraia wa Marekani.
Sasa baada ya kuonekana anafanya propoganda mbaya sana na za chuki dhidi ya wahamiaji wa kila aina Marekani katika uchaguzi huu ili kumsaidia Trump kushinda baadhi ya watu wamekumbushia alipotoka ndipo akaanza kufura!