Hizo ni siasa mkuu,huyu jamaa ni very potentialElon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya 80 na 90 Musk hakuwahi pata kashikashi zozote za Uhamiaji na baadaye akaweza kujipatia uraia wa Marekani.
Sasa baada ya kuonekana anafanya propoganda mbaya sana dhidi ya wahamiaji wa kila aina Marekani katika uchaguzi huu kumsaidia Trump kushinda baadhi ya watu wamekumbushia alipotoka ndipo akaanza kufura!
View attachment 3141314
Afrika Kusini, nchi baba ya Apartheid.Kwani kiasili yeye ni raia wa nchi ipi?
Huyio hawawezi mtimu na hawana hiyo nguvu. Wanajua wakimtimua watapata hasara kiasi gani.Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya 80 na 90 Musk hakuwahi pata kashikashi zozote za Uhamiaji na baadaye akaweza kujipatia uraia wa Marekani.
Sasa baada ya kuonekana anafanya propoganda mbaya sana dhidi ya wahamiaji wa kila aina Marekani katika uchaguzi huu kumsaidia Trump kushinda baadhi ya watu wamekumbushia alipotoka ndipo akaanza kufura!
View attachment 3141314
Utamtimuaje mtu mwenye mitambo ya teknolojia kubwa sayari ya Mars?Huyio hawawezi mtimu na hawana hiyo nguvu. Wanajua wakimtimua watapata hasara kiasi gani.
South Africa kwa baba, Canada kwa mamaKwani kiasili yeye ni raia wa nchi ipi?
Ni Myahudi aliyezaliwa Afrika Kusini.Kwani kiasili yeye ni raia wa nchi ipi?
Mwafrica kutoka kwa madiba bomdeni huko..Kwani kiasili yeye ni raia wa nchi ipi?