Elon Musk ahofia kutimuliwa Marekani kama muhamiaji haramu

Thubutuuu..... hawawezi kuitupa hiyo almasi kirahisi hivyo usije ikaokotwa na mahasimu wao.
 
Afrika Kusini, nchi baba ya Apartheid.
Mwanasiasa basically ni mtu wa nguvu ya hoja, mfukoni hana kitu.
Elon Musk amechezea uwanda wa wanasiasa, watamtahiri!
Elimu musk ni mlipa kodi mkubwa hawezi kufukuzwa hata iweje.
 
Huyo alishachukua uraia wa Marekani kitambo tu na sasa ana uraia wa nchi tatu. Hakuzamia kama navyovumishwa
 
Kumfukuza hawawezi, ila wanaweza kufanya biashara yake kuwa mufilisi.
Si unakumbuka Trump walivyomfanya na kodi za kufa mtu kule New York!
Trump hajawahi kufulisiwa,
Mhasibu wake mkuu Allen Weisselberg na mwanasheria wake pia Michael Cohen walikiri kuhusika kuchakachua hesabu za kampuni ya Trump kukwepa kodi.
 
Musk hawezi timuliwa U.S kamwe.

U.S ni nchi ya mabepari matajiri na ndio wanao amua mstakabali wa nchi hiyo wengine hawa wanasiasa na wananchi wa kawaida ni wapiga kelele tu.

Wananchi wa marekani hawana kauli mbele ya matajiri wa kiyahudi wanaoamua sera za nchi yao juu ya Israel[kibwagizo tu hiki jinsi marekani ilivyo]
 
Pamoja na kuwepo kwa sheria hizo kali za uhamiaji lakini US haiwezi kumfukuza nchi mtu adhimu na muhimu kama Elon hilo msahau Kumbukeni hata albert Enstein hakuwa mmarekani au mmesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…