Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Na Mimi namfukuzia kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninajiuliza tu. Kisa cha wao kushangilia ni nini?. Sasa kushangilia mwenzako kuanguka ni wivu au nini. Wanadamu tuna shida sana.Kuna waswahili wali shangilia huyo jamaa alipo tolewa namba moja ya utajiri duniani sijui wata semaje tena
Wewe za Elon Musk unataka kujua zinaendaje?UKISHAJUA ITAKUONGEZEA NINI KATIKA MAISHA YAKO YA KUTAFUTA KILO MOJA YA MCHELE KWA 3500?
Anataka ukuni huyo [emoji1787][emoji1787][emoji23]Walishatafta wakanipa ndio nilitumia kukuhonga na kukupiga miti mtoto mzuri.
Sure. Huyu jamaa ni level nyingine.Project za huyu mwamba ni za pesa ndefu mno siku zikikaa sawa kabisa hatakamatika huyu mwamba
Anaongoza kwenye mazingira mazuri. Halafu ana mainjinia wazur. Yani hadi kuna demu mkali kaajiriwa kuntawadha tu akinya. Kwa mantiki iyo Kwa nini kampuni zake zisifanye vizuri?Sure. Huyu jamaa ni level nyingine.
Juzi mkurugenzi wa zamani wa makampuni ya General Motors alikiri kwamba Elon ni species nyingine iliyoshuhshwa kuja kufundisha watu jinsi ya kuongoza kampuni.
Jamaa ni mkurugenzi wa kampuni karibu 8 na zote zinafanya vizuri. Balaa tupu.
Wakati watu wengine kampuni moja inawashinda kuongoza yeye anaongoza 8 na ziko bomba mbaya.
Elon ni kitu kingine.