#COVID19 Elon Musk amesema hatachoma chanjo itakapotoka

Huyo hata akifa hana hasara πŸ˜‚! Kashatengeneza utajiri wa kutisha ulimwenguni hamna asiyemjua.

Hana stress za ujenzi wala kulipa ada hata akifa watoto wake wataishi tu ki DoN!
Vipi ungekuwa na mkwanja kama Elon ? Gari yako ya kwanza pili na tatu zingekuwa zipi πŸ˜€πŸ˜€
 

Huo ndio ukweli kwa maisha na mazingira yake hana riski hiyo. Sasa chanjo ya nini, je wewe na mimi tuko sawa nae? Tsatizo letu sisi ni masikini, nchi masikini na ujinga umetamalaki. Sasa wanasiasa uchwara ndio wanatumalizia hapo, kujidai wameweza kuondoa Corona kwa maombi na nyungu. Very stupid.
 
Huko kwa matajiri hadi viongozi wao wanaugua ........shida kwani ni umasikini? We kama umedata kwa hio chanjo kata tiketi nenda hata hapo kenya tu ukadungwe uendelee na maisha yako ila ukingojea chanjo bongo ni sawa na kungoja meli airport.......povu jema
 
HAUJIELEWI
 
'Elon Musk decided to homeschool his 5 children. He's started an innovative private school for his 5 kids and 15 others that has no grades and takes an unschooling approach to education.'

Eti mtu wa dizaini hio ndio sisi tunajifanya kumuiga?Maisha yake na sisi wabongo ni mbingu na ardhi.
 
Hao globalists ndo akina nani mkuu. Hebu nipe elimu kidogo
 

Usitufokeeeeee
 

Kaka unatumia wine gani?
 
Normally maisha katika dunia hii ni kuigana.

IGA chochote unachokiona kizuri toka kwa mwenzako, ukishindwa wewe shawishi wanao waige...hayo ndio maendeleo.
 
Normally maisha katika dunia hii ni kuigana.

IGA chochote unachokiona kizuri toka kwa mwenzako, ukishindwa wewe shawishi wanao waige...hayo ndio maendeleo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ni swala la muda tu....
 
Elon sio mnafiki, na ni mtu anaeishi katika anacho amini
Kutokuwa mnafiki sio tatizo na kuishi katika anachoamini sio tatizo. Tatizo ni pale CEO wa Tesla, Neuralink, The Boring Company na SpaceX anapoitwa na kuanza kufunguka vitu sensitive.

Wanahisa wa Tesla walimpeleka mahakamani last year na kuna conditions fulani alipewa kuhusu tweeting. Mtu alitweet mpaka akasababisha crash ya hisa za kampuni yake. Yeye ni taasisi, pale haitwi kama raia kutoka mtaani mbona hizo show hawaiti wapishi wa MacDonald's.

Ukishaongoza taasisi unakuwa umefungiwa na uhuru. Imagine Magufuli asimame mbele aseme anawachukia Wachaga hiyo reaction ilivyo. Ila mama ntilie akisema hivo hivo atapuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…