Elon Musk ametangaza kua Tesla watasitisha uzalishaji wa Model S na Model X kuanzia Q2 ya 2026!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S.
Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
 
Juzi nimepita vingunguti nimeona nembo ya BYD...makampuni mengine wajiandae kukimbia sokoni.
Hawa wachina haya madini ya kutengeneza lithium wapo barazani kwao, huwezi kushindana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…