Elon Musk ampiga 'ban' Kanye West

Elon Musk ampiga 'ban' Kanye West

Yani hata anavyopanic napenda
Madem mna mambo na tastes za ajabu sana. Yaan mie nikiona navutiwa na kitu fln af baadae nikagundua kuna dem nae anakipenda basi huwa narudia mara 100 100 kujiuliza kwa nn kimenivutia.
 
Kwahiyo hiyo tweet Ye anamaanisha Elon anakojolewa nyuma? Au me ndio sijaelewa.
Jifunze kuficha upuuzi wako basi. Ari Emmanuel (huyo aliepo nyuma) ni myahudi, kanye kaweka hio kama dis tu
 
Kanyeee anakuambia "Colonialism was a choice" mara "White Lives Matter"
 
Na hii si kwa Ye' tu kuelewa au kutokumuelewa mtu inategemea pia unafikiri nini juu ya mtu. Ila Ye' ni mtu yupo uhuru sana kifikira na watu wa aina yake ni wachache.
 
Back
Top Bottom