Elon Musk ana gundu gani na Tanzania?

Atoe hela aweke wanasiasa watakaomuunga mkono kwa kila jambo. Nazadhani ndicho wanachotaka akifanye.
 
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Usikae serious kusikiliza taka ngumu hizo!
 
nchi ya watu wanaofunga na kuabudu siku nzima wapokee muujiza. asalaleki faken republic pipo
Eti Ndio tajiri aiwaze...ni sawa na ww upate pesa uwaze kijiji cha kigoma uko
 
Kampuni yake imetaka kuwekeza Dunia nzima kwahio kwa mantiki yako anajua nchi nchi zote Dunaini
Haiwezi kuwa at once,ni nchi baada ya nchi,by the way lazima ajadili na wakurugenzi sehemu pesa yake inapotaka kuwekwa
 
Haiwezi kuwa at once,ni nchi baada ya nchi,by the way lazima ajadili na wakurugenzi sehemu pesa yake inapotaka kuwekwa
Unajua kampuni inavyoendeshwa wakati wa ishu za mazungumzo ulimuona Elon kwenye picha, Meta walivyotembea TZ ulimuona Zuck kwenye picha.

Wanao negotiate na ku-push kilakitu ni watu watching ya Musk yeye katulia tu.
 
Hataki kutoa rushwa kwa maccm ili awekeze nchini

Maccm yanamkazia tajijiri wa dunia
 
Kuna mtu mmoja kahamia huko wanahaha.Hivi kweli mtu mmoja anakufanya unafunga mtandao mnamprove kuwa amewazidi nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…