KWELI Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Source #1
View Source #1
MADAI
Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

1668937549650.png
 
Tunachokijua
Tovuti ya Starlink ya Elon Musk ina mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

Katika kuthibitisha madai haya, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Jabiri Bakari alithibitisha kuwa ni kweli Kampuni hiyo ya Starlink ilituma maombi ya kuleta huduma ya Intaneti Tanzania.

Aidha kuhusu kuwasili kwa Starlink Corporation, Dk Bakari alijibu: "Ndiyo, ninafahamu kuwa kampuni hiyo ilituma maombi kupitia tovuti."

Mataifa pekee ya Kiafrika ambayo hadi sasa yameiruhusu Starlink kufanya kazi ni Nigeria na Msumbiji.

===
Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
MADAI
Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwaiyo jamaa zetu makampuni ya simu za mkononi janjajanja yao fyekeleambali

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
MADAI
Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Itakuwa habari njema sana
 
Ajiandae kuruka na ROSTAM[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio tutajua tajiri ni nani na mwenye vipesa vya kubadilishia mboga ni nani

- ila huyu musk bidhaa zake sidhani kama tutaweza ku afford sisi wapenda DOWN_SLOOOOOOP
mocanu.gif
 
Tanzania ina vigezo/Sifa zipi katika orodha ya vigezo vyao mpaka wameichangua iwe miongoni mwa nchi wanazotoa hio huduma ?
Hali ya siasa na sera za uwekezaji haswa kwa wageni! Pia kuna fursa na ni nchi yenye matumizi makubwa ya mawasiliano na utulivu usio kua na madoa ya machafuko ya kuathiri uwekezaji
 
Tanzania ina vigezo/Sifa zipi katika orodha ya vigezo vyao mpaka wameichangua iwe miongoni mwa nchi wanazotoa hio huduma ?
Kwa namna ulivyouliza ni kama unaona TANZANIA ni nchi ya watu wa KIBOYA sana eeh
Sasa kwa taarifa yako AFRCA tanzania ndio NCHI ya tatu kuletewa HUDUMA baada ya NIGERIA MSUMBIJI na sasa TANZANIA
 
ni mikoa michache tu watanufaika... sio mikoa yote... dar, arusha, mwanza, tabora.. kama n internet ya satelite kwa nn wabague mikoa? satelite si inakamata kila kona ya dunia au?
 
Back
Top Bottom