KWELI Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Sasa balaa linakuja kiongozi wenyewe ni nape alafu anamikono kwenye mitandao ya Tanzania.
 
Kama hiyo huduma ya Starlink ita kua bei nafuu na kasi kubwa basi haya makampuni ya simu nchini yatalia na kusaga meno [emoji117][emoji30][emoji30] ita bidi yajikite kwenye sms nadakika pekee.

Maana wanacho tufanyia sasa ni unyonya damu tena kikatili sana. [emoji855]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…