Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani ifikapo 2027

Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani ifikapo 2027

hiyo 110% ni wastani wa ongezeko la utajari wake. Wastani.

ni ngumu sana kuwa trilionea haraka hivyo kwasababu performance ya makampuni haitabiriki

250b kwenda 1t itabidi aongeze 750b ndani ya miaka 3, uongo
110% ya 250b mwakani itakuwa almost 600b,then 600b ya mwaka keshokutwa itakuwa almost 1+trillion sasa si tayari hapo mzee.?
 
Hizo Billion dollar zake tukizigeuza kibongo bongo huku sahv tunamwita trilione 😅
 
Back
Top Bottom