Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
110% ya 250b mwakani itakuwa almost 600b,then 600b ya mwaka keshokutwa itakuwa almost 1+trillion sasa si tayari hapo mzee.?hiyo 110% ni wastani wa ongezeko la utajari wake. Wastani.
ni ngumu sana kuwa trilionea haraka hivyo kwasababu performance ya makampuni haitabiriki
250b kwenda 1t itabidi aongeze 750b ndani ya miaka 3, uongo
Na Ukimtumikia Mungu utakuwa Dhaifu Sana DunianiUkimtumikia Shetani utakuwa na nguvu sana duniani
Utakuwa hukosi mahitaji muhimu na hakuachi uabikeNa Ukimtumikia Mungu utakuwa Dhaifu Sana Duniani
kwenye makaratasi, kiuhalisia kampuni haiwezi kukua kwa kasi hiyo110% ya 250b mwakani itakuwa almost 600b,then 600b ya mwaka keshokutwa itakuwa almost 1+trillion sasa si tayari hapo mzee.?
Leo ana 400bhiyo 110% ni wastani wa ongezeko la utajari wake. Wastani.
ni ngumu sana kuwa trilionea haraka hivyo kwasababu performance ya makampuni haitabiriki
250b kwenda 1t itabidi aongeze 750b ndani ya miaka 3, uongo
Inflation😂Leo ana 400b