Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
Mkimpa kazi Elon msimghasi na vimemo vyenu vya mchongoMwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
Haitowezekana, na si speciality yake. Na pia kiesheria ni ngumuMwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
Hakuna ugumu kwenye nia thabitiHaitowezekana, na si speciality yake. Na pia kiesheria ni ngumu
Well i have bad news for you, hakuna kitu kama hiko na hakitaaa kaa kitokee. Si kila kitu kinanunulika dunianHakuna ugumu kwenye nia thabiti
Marekani tu pamemshinda!Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
Naunga hoja kwa mwili wangu mzima.Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
Kwanza Ajipime kwanini biashara ya kuuza magari ya Tesla imeporoka vibaya sana,na kwanini maroketi yake kwa sasa yanadondoka ovyo kila kukicha?Hakuna ugumu kwenye nia thabiti