Elon Musk asema hataki tena kutumia muda wake mwingi kwenye mambo ya utawala wa Trump

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Kufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump.

Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE ambayo imehusika na kupunguza wafanyakazi wa serikali kwa njia zisizo za haki.

Kati ya biashara zake zilizoathirika zaidi ni kampuni yake ya Tesla ya kutengeneza magari ya umeme.Kutokana na hilo amesema kuanzia mwezi wa Mei anakusudia kutumia si zaidi ya siku moja au mbili kwenye mambo ya serikali aliyopangiwa na rafiki yake Trump.

Musk says he’ll spend less time working with Trump after Tesla profits sink​

Mpuuzi kawaharishia Wamarekani wenzake mwishoe kajichafua na yeye mwenyewe sasa anataka kusepa kukimbia msala🤣
 
Mnafiki sana huyu, Inasemewa ukiondoa ruzuku za serikali kwa kampuni yake vitabu vya mahesabu vingesoma hasara ya kiwango cha kutisha ila yeye hataki watu wengine wapewe msaada na serikali ya Marekani!
 
Kufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump.

Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE ambayo imehusika na kupunguza wafanyakazi wa serikali kwa njia zisizo za haki.

Kati ya biashara zake zilizoathirika zaidi ni kampuni yake ya Tesla ya kutengeneza magari ya umeme.Kutokana na hilo amesema kuanzia mwezi wa Mei anakusudia kutumia si zaidi ya siku moja au mbili kwenye mambo ya serikali aliyopangiwa na rafiki yake Trump.

Musk says he’ll spend less time working with Trump after Tesla profits sink​

Bado hajasema...... mpaka aseme
 
Ameshanyooshwa ndio uzuri wa wazungu hawakukwepeshi ni tit for tat..mnamalizana.
Huku kwetu unafki mwingi sana.
 
Mpuuzi kawaharishia Wamarekani wenzake mwishoe kajichafua na yeye mwenyewe sasa anataka kusepa kukimbia msala🤣
Akili zake zote za kibiashara katumika kama kinyago na kwa maslahi ya kisiasa ya Trump.
Wenzake wakioona wamebanwa sana huwa wanatia mguu halafu wanatoa.Yeye kakubali kupewa na ofisi kabisa tena ile ofisi yenye fitna sana inayohusu maslahi ya watu moja kwa moja.
 
Kufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump.

Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE ambayo imehusika na kupunguza wafanyakazi wa serikali kwa njia zisizo za haki.

Kati ya biashara zake zilizoathirika zaidi ni kampuni yake ya Tesla ya kutengeneza magari ya umeme.Kutokana na hilo amesema kuanzia mwezi wa Mei anakusudia kutumia si zaidi ya siku moja au mbili kwenye mambo ya serikali aliyopangiwa na rafiki yake Trump.

Musk says he’ll spend less time working with Trump after Tesla profits sink​

Mungu amemjalia maarifa lkn maarifa yake ameshindwa kujua kwa watu wa dizaini yake na siasa vitu viwili tofauti tena sana
 
Hapo kwetu matajiri huwa wanavaa kijani wakiitwa kwenye mikutano ya kisiasa.Wakirudi nyumbani wanavua haraka.Mwenzetu ametengeneza na shuka la kulalia kabisa.
Ila wee jamaa hahaha licha ya kukinzana kwenye swala la magaidi uchwara Hama's (Palestinian)...

Nyau de adriz
 
Na bado mbaguzi, mnafiki (yeye mwenyewe bila ruzuku ya Serikali angeshafia mbali) na mgomvi lazima anyooshwe
 
Back
Top Bottom