Bado hajasema...... mpaka asemeKufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump.
Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE ambayo imehusika na kupunguza wafanyakazi wa serikali kwa njia zisizo za haki.
Kati ya biashara zake zilizoathirika zaidi ni kampuni yake ya Tesla ya kutengeneza magari ya umeme.Kutokana na hilo amesema kuanzia mwezi wa Mei anakusudia kutumia si zaidi ya siku moja au mbili kwenye mambo ya serikali aliyopangiwa na rafiki yake Trump.
Musk says he’ll spend less time working with Trump after Tesla profits sink
Ameshanyooshwa ndio uzuri wa wazungu hawakukwepeshi ni tit for tat..mnamalizana.Kufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump.
Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE ambayo imehusika na kupunguza wafanyakazi wa serikali kwa njia zisizo za haki.
Kati ya biashara zake zilizoathirika zaidi ni kampuni yake ya Tesla ya kutengeneza magari ya umeme.Kutokana na hilo amesema kuanzia mwezi wa Mei anakusudia kutumia si zaidi ya siku moja au mbili kwenye mambo ya serikali aliyopangiwa na rafiki yake Trump.
Musk says he’ll spend less time working with Trump after Tesla profits sink
Akili zake zote za kibiashara katumika kama kinyago na kwa maslahi ya kisiasa ya Trump.Mpuuzi kawaharishia Wamarekani wenzake mwishoe kajichafua na yeye mwenyewe sasa anataka kusepa kukimbia msala🤣
Hapo kwetu matajiri huwa wanavaa kijani wakiitwa kwenye mikutano ya kisiasa.Wakirudi nyumbani wanavua haraka.Mwenzetu ametengeneza na shuka la kulalia kabisa.Ameshanyooshwa ndio uzuri wa wazungu hawakukwepeshi ni tit for tat..mnamalizana.
Huku kwetu unafki mwingi sana.
Mungu amemjalia maarifa lkn maarifa yake ameshindwa kujua kwa watu wa dizaini yake na siasa vitu viwili tofauti tena sanaKufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump.
Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE ambayo imehusika na kupunguza wafanyakazi wa serikali kwa njia zisizo za haki.
Kati ya biashara zake zilizoathirika zaidi ni kampuni yake ya Tesla ya kutengeneza magari ya umeme.Kutokana na hilo amesema kuanzia mwezi wa Mei anakusudia kutumia si zaidi ya siku moja au mbili kwenye mambo ya serikali aliyopangiwa na rafiki yake Trump.
Musk says he’ll spend less time working with Trump after Tesla profits sink
Ila wee jamaa hahaha licha ya kukinzana kwenye swala la magaidi uchwara Hama's (Palestinian)...Hapo kwetu matajiri huwa wanavaa kijani wakiitwa kwenye mikutano ya kisiasa.Wakirudi nyumbani wanavua haraka.Mwenzetu ametengeneza na shuka la kulalia kabisa.