Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ila akili zetu tunazijua wenyeweSasa kumiliki mali zote hizo za nini hamna tija yoyote hawataishi milele watakufa na kuacha. Ni watu waovu na wachoyo wamejipatia hizo Mali kwa umwagaji damu na unyanyasaji tangu kipindi cha utumwa ukoloni hadi leo wanaendelea tu kwa ukoloni mambo leo kwa kuiba rasilimsli nakuleta vita kama Congo na CAR na kusababisha vifo vya wengi.