Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena.
Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye alikosoa vyombo hivyo kama vyombo vya habari vinavyofadhiliwa na walipa kodi, vikiwa vimejaa "wanaharakati wa siasa kali za kushoto."
"Ni vyombo vya habari vilivyomilikiwa na serikali," Grenell aliandika. "Vyombo hivi ni urithi wa zamani. Hatuwahitaji vyombo vya habari vinavyolipwa na serikali."
Musk alikubaliana, akituma ujumbe wa kusema: "Ndio, vifungiwe." Aliendelea kudai kuwa vyombo hivyo "ni watu wa siasa kali za kushoto wanavyozungumza na wenyewe huku wakiteketeza dola bilioni moja kwa mwaka za fedha za walipa kodi wa Marekani."
===================
Elon Musk has called for the shutdown of Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) and Voice of America (VOA), two media organizations funded by the U.S. government, claiming they are no longer relevant.
Musk made the remarks in response to a post on X by Richard Grenell, the U.S. Special Envoy for Special Missions, who criticized the outlets as taxpayer-funded media filled with “far-left activists.”
“It’s state-owned media,” Grenell wrote. “These outlets are a relic of the past. We don’t need government-paid media outlets.”
Musk agreed, posting: “Yes, shut them down.” He went on to claim that the organizations “are just radical left crazy people talking to themselves while torching $1 billion a year of U.S. taxpayer money.”
Atusaidie na TBC yetu.
Noma sana.Frola nducha,sande shomali na iddi ligongo.......kama bado hawajachukua uraia watakuwa wajinga kupitiliza.......... wako kule zaidi ya miaka 20
Hao jamaa usikute wanakusanya hela ili watimkie Mars. Kuna kitu wamenusa kinaenda kutokea duniani, nini?DOGE is here to cut down all the wasteful spendings by governments.
Taxpayer's money should be spent wisely.
MboNA China huo ugoro haupo na wanakimbiza kila nyanja,?Mkuu VOA huwezi kuifuta kwa sababu una miliki X. Kwa national redio network hapo Marekani hakuna wa kiwafikia VOA na wapo mzigoni miaka zaidi ya 80 na wanatangaza kwa lugha zaidi ya 58 duniani kote. DOGE ni mpango wa kuilimiti Marekani na kuifanya kuwa week country.
Si jambo la kupepesa, wawili hao hawajielewi.Umesema ukweli mtu,VOA ni chombo cha kipropaganda na ndio mana unaona ,kuna BBC swahili,Sauti ya Ujerumani,Radio france international,Redio Tehran,hivi vyombo ni kwaajili ya ujasusi labda kama hao jamaa wawili hawajielewi ila kuvifunga hivyo vyombo ni jambo la kuonyesha hawajui chochote kwenye mambo ya ujasusi.
Hela zinapelekwa kuikarabat GAZAHao jamaa usikute wanakusanya hela ili watimkie Mars. Kuna kitu wamenusa kinaenda kutokea duniani, nini?
Una uhakika kwamba China hawana programu kama hiyo ya VoA?MboNA China huo ugoro haupo na wanakimbiza kila nyanja,?
Too late!Trump anakuja kuleta mtikisiko mkubwa sana wa kiuchumi duniani ambao ni hatari sana kwa mataifa tegemezi.
Tunaelekea uelekeo wa ubabe/survival of the fittest, ukiwa mnyonge unamezwa.
Ni wakati wa GOT (Tanzania) wenye mamlaka kuanza kuchukua hatua ya kupambana na hili Kwa manufaa ya raia wake.
1. Serikali ianze kubana matumizi haraka sana
2. Serikali ianze kudeal na miradi yenye kuleta
return za haraka na huduma muhimu.
3. Serikali ianze kudhibiti mianya ya rushwa
haraka na Kwa nguvu kubwa sana.
4. Serikali ianze uwekezaji mkubwa kwenye
madini hasa Kwa wazawa small scale
miners,.
5. Serikali ianze kuwawezesha wakulima na
yenyewe inunue mazao kwa bei shindani na
kuweka stock kwenye maghala.
6. Serikali ipige marufuku madereva wa
bodaboda mitaani na kuwapa ajira jeshini
(JWTZ).
7. Serikali ianze kuencourage madereva wa
tax, bajaji wastaafu/wazee/akinamama/
vilema na wasioweza kufanya shughuli
nyingine za shuruba.
8. JWTZ ianze kuwa productive kwa kumiliki
mashamba makubwa sana ya mazao ya
chakula na viwanda vidogo vidogo vya
silaha na product nyingine ndogondogo.
9. Jeshi na majeshi yote yawe kwenye utayari
muda wote huku recruitment kubwa za
vijana wenye nguvu zikifanyika Kwa kasi.
10. Ni wakati wa Serikali kuanza kusimamia maadili sasa Kwa ukaribu na kupiga marufuku huu ujinga wote wa vijana mitandaoni na uchawauchawa, maana sasa tunakoendea jamii inahitaji watu serious wakuweza kukabiliana na uelekeo mpya wa Dunia ya ubabe, aka survival of the fittest.
Wapo kwenye ya Africa?Kuna watanzania hapo wanatafuta maisha.
Waanze kufungasha
Propaganda na ideologies zipi zinazosambazwa na USAID, VoA, DW na BBC?Kwa miaka mingi media zimekuwa ni njia ya Marekani na nchi za Magharibi kusambaza propaganda na ideologies zao
Kama wataamua kufanya hivyo kwa media na USAID, NED n.k sijui amejipangaje kwenye kusambaza propaganda na ideologies zao?
Mfano USAID ilikuwa ni moja ya sehemu ilibeba ushawishi mkubwa sana wa Marekani duniani
Ngoja tuone ndani ya hii miaka 4 ushawishi wa Marekani duniani utakuwa umepungua au kuongezeka.
Ni kama Marekani imetoa nafasi kwa mataifa mengine makubwa kutengeneza ushawishi