Elon Musk atangaza kuwasadia waliofanyiwa mabaya kazini kwa kushiriki mijadala ya Twitter

Elon Musk atangaza kuwasadia waliofanyiwa mabaya kazini kwa kushiriki mijadala ya Twitter

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mmiliki wa X, ambayo awali ilijulikana kama twitter, ametangaza kuwasaidia watumishi waliotendewa vibaya kazini kwa kushiriki kwao mijadala katika mtandao huo.

Elon, amewataka watumiaji wa mtandao wake wamwambie mistreatment kutoka kwa waajiri wao walizozipata baada ya ku-like au kupost kitu.

Baadhi ya comments zimeonesha baadhi ya watu waliochishwa kazi kutokana na posts zao.

Hapa nadhani kwa Tanzania, Khalifa Said inabidi awe wa kwanza kupewa hela za kufungua kesi.

Screenshot_20230807-043451.jpg
 
Back
Top Bottom