Elon Musk atoa ahadi ya kurudisha cocaine kwenye coca cola

Elon Musk atoa ahadi ya kurudisha cocaine kwenye coca cola

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Tajiri namba moja Duniani kwa paper assets,mmarekani na mzaliwa wa South Africa bwana Elon Musk ameelezea matamanio yake ya kuinunua kampuni kongwe ya kutengeneza vinywaji baridi ya coca cola


Elon ameonesha matamanio yake ya kuimiliki kampuni hiyo kubwa kupitia tweet ambayo inaonekana kama vile ni utani,kaahidi kuinunua kampuni hiyo na kurudisha cocaine kwenye kinywaji cha coca cola
 
Jamaa anakili sana..viongozi wa bongo wamei haramisha bangi..makosa makubwa sana haya...ndio mana tunazidi kuwa masikini sasa bangi inakosa gani..kwanini tusifanye biashara ya bangi na products zake kama mafuta ya bangi tupige pesa

#MaendeleoHayanaChama
View attachment 2216710
 
Cannibals edible oil
Screenshot_20220508-143329_Google.jpg
 
Tabia za pesa za gafla jamaa anatamani Mambo mengi kwa wakati mmoja soon atapoteza focus.

Wewe nguchiro unamshauri nini elon musk? Unadhani kaanza jana mtu ashaimiliki e bay sijui paypal akafirisika akaanza mambo za tesla, magari ya umeme, leo hii tafiti za mars mara kanunua twitter, unamsikia kuitaka cocacola unahisi kaanza jana? Wewe pambana na hali yako hao walishakua mbali hata Mo hawezi kumshauri musk ijekua wewe bana
 
Back
Top Bottom