Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

Yani kibongo bongo ukiwa na hiyo point 3 tu ya huyo mwamba umemaliza kila kitu
 
Mhhh ila hapo juu kwa project za musk lazma arudi

Na yule mwamba wa Ai nae atakuja kuwa moto mbeleni
 
Hivi Mo anaweza kumzidi mzee wa Ice Cream Azam kwa utajiri?
Mwamedi usione yale matangazo kwenye jezi ya Simba ukamchukulia poa ana kiwanda mpaka cha sabuni za guest wahuni wanazopigia jeki watu wakila nauli na kiwanda cha viberiti ebwana usimchukulie poa
 
Yaan ukichanganya utajiri wa mtu wa kwanza mpka huyo wa kumi unatosha kabisa kugawanya kwa watu maskini dunia zima na kuleta unafuu
Hata zigawanywe kwa masikini masikini hawatoisha
 
Mbona Bakhressa hayupo hapo? Hiyo ni batili
 
Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni 207.9.

List ya mabilionea 10 duniani:

1. Bernard Arnault & family - TZS Trilioni 524.3
2. Elon Musk - TZS Trilioni 516.2
3. Jeff Bezos - TZS Trilioni 457.2
4. Larry Ellison - TZS Trilioni 358.6
5. Mark Zuckerberg - TZS Trilioni 350.8
6. Warren Buffett - TZS Trilioni 320.8
7. Larry Page - TZS Trilioni 320.5
8. Bill Gates - TZS Trilioni 309.9
9. Sergey Brin - TZS Trilioni 306.9
10. Steve Ballmer - TZS Trilioni 299.6

View attachment 2887025
Say it again
 
Back
Top Bottom