Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

Yaan ukichanganya utajiri wa mtu wa kwanza mpka huyo wa kumi unatosha kabisa kugawanya kwa watu maskini dunia zima na kuleta unafuu
 
Ghai ghaii!Kwa hiyo sasa itakuwaje?Maana hatujamaliza kubishana kuhusu vita ya Gaza?
 
Yani kibongo bongo ukiwa na hiyo point 3 tu ya huyo mwamba umemaliza kila kitu
 
Mhhh ila hapo juu kwa project za musk lazma arudi

Na yule mwamba wa Ai nae atakuja kuwa moto mbeleni
 
Hivi Mo anaweza kumzidi mzee wa Ice Cream Azam kwa utajiri?
Mwamedi usione yale matangazo kwenye jezi ya Simba ukamchukulia poa ana kiwanda mpaka cha sabuni za guest wahuni wanazopigia jeki watu wakila nauli na kiwanda cha viberiti ebwana usimchukulie poa
 
Yaan ukichanganya utajiri wa mtu wa kwanza mpka huyo wa kumi unatosha kabisa kugawanya kwa watu maskini dunia zima na kuleta unafuu
Hata zigawanywe kwa masikini masikini hawatoisha
 
Mbona Bakhressa hayupo hapo? Hiyo ni batili
 
Say it again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…