Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine!
Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa kutoa huduma kwa Urusi.
Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa kutoa huduma kwa Urusi.