Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Kaburu analipa kisasi.Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine!
Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa kutoa huduma kwa Urusi.
View attachment 3231884
View attachment 3231885
View attachment 3231886
Walipora kwa nguvuna wao walitwaa bure kwa previous owners
Hakuna mweusi wa kununua shamba la mzungu afrika kusini,
Mashamba ya zabibu kule cape town sio investments za pesa ndogo
Endelea kusikiaNasikia Wazungu wa South Africa wanapelekwa USA kama Wakimbizi.
kulijibu swali lako bila kuhusisha historical fact haiwezekani, wazungu wa afrika kusini by default ni wazawa wa hapo.naomba kuuliza na unijibu bila ya bias na upuuzi(ignoring other historical facts)
Wazungu waliwahigi kununua mashamba Africa ya Kusini?
But waneyaendesha kibiashara zaidinaomba kuuliza na unijibu bila ya bias na upuuzi(ignoring other historical facts)
Wazungu waliwahigi kununua mashamba Africa ya Kusini?
Mugabe aliwapokonya ardhi kwa mantiki hiyo, Zimbabwe never recoverd economically mpaka Leo hii, wazawa waliopewa hawakuweza kuyaendeleza tena to the past glory ya kibeberunaomba kuuliza na unijibu bila ya bias na upuuzi(ignoring other historical facts)
Wazungu waliwahigi kununua mashamba Africa ya Kusini?
kulijibu swali lako bila kuhusisha historical fact haiwezekani,
wazungu wa afrika kusini by default ni wazawa wa hapo.
Mkulu, kwa hiyo unasema prior na hapo 1660 tusizingatie? how wakati tunatizama na historical context and facts?Nimekutolea mfano wa mashamba ya zabibu maana niliishi huko kipindi fulan, kuna mashamba yapo toka mwaka 1660
Wanayaendeleza kumfaidisha nani? PuleeeseBut waneyaendekeza kibiashara zaidi
🥸 kwa akili yako unafikiri kusingekuwepo na mfumo wa hela magharibi nn kingetokea?Mugabe aliwapokonya ardhi kwa mantiki hiyo, Zimbabwe never recoverd economically mpaka Leo hii, wazawa waliopewa hawakuweza kuyaendeleza tena to the past glory ya kibeberu
https://oig.usaid.gov/node/6814Haya ni madai ambayo hayana kichwa wala miguu yanayoibuliwa na ma leftists akina Letitia James, yaani USAID ndio iwe na jukumu la kuichunguza na kuishtaki starlinks serious?
Naona mafisadi waliokuwa wanufaika wakubwa wa hiyo criminal organisation wanatapa tapa tu..!!
Bro matatizo ya wa afrika ni yetu wenyewe na inabidi tuyatatue wenyewe. naona unalaumu western countries.Wanayaendeleza kumfaidisha nani? Puleeese
🥸 kwa akili yako unafikiri kusingekuwepo na mfumo wa hela magharibi nn kingetokea?
Think for a second, mathalan duniani tungekuwa tunatumia rubo ya rassia? Zimbabwe would have never recovered? Hata hilo kuhusu uchumi wake kuporomoka tu ni propaganda za magharibi.
Acha kabisa
1660 hadi leo kuna miongo karibu minne, watunMkulu, kwa hiyo unasema prior na hapo 1660 tusizingatie? how wakati tunatizama na historical context and facts?
Unasema uliishi huko wakakueleza Waafrika ni wahamiaji huko? Nani hao kama sio wazungu unaowatetea, how are you not biased?
Bado haiondoi ukweli kuwa hili ni shirika la kihalifu na hao wahalifu ndio wako mstari wa mbele kufanya hiyo investigation ambayo haina kichwa wala miguu...!!