Sasa huu mpango wa kuwanyang'anya Ardhi bila fidia ni hatari sana kwa property zao?!Wamegoma kuacha maelfu ya ekari za mashamba kwenda kuwa wabeba box US.
na wao walitwaa bure kwa previous ownersSasa huu mpango wa kuwanyang'anya Ardhi bila fidia ni hatari sana kwa property zao?!
Kama ni mimi Farmer naliweka shamba langu sokoni naliuza halafu nachukua fedha zangu naenda kununua shamba lingine South America.
Na Bantu expansion nayo ilitwaa kutoka kwa San Bushman na Hotentos kwa kutumia mikuki.na wao walitwaa bure kwa previous owners
Africans by Africans si Mbaya, later on wana share, lakini si hao makaburuNa Bantu expansion nayo ilitwaa kutoka kwa San Bushman na Hotentos kwa kutumia mikuki.
Franklin Graham ni tapeli tu kama wakina Mwamposa na Geor DavieUSAID, under the control of the Democratic left, has been pushing LGBTQ, transgender, and other godless agendas to the world in the name of the United States of America. We the taxpayers have been paying for this to the tune of billions of dollars. Thank you Elon Musk for exposing this—and now President Donald J. Trump is bringing it to an end. I encourage the State Department to continue providing life-saving aid like food and medicine.
Franklin Graham
Uvamizi ni uvamizi, tu Ukaburu ulikiwa ni mfumo wa Siasa na Ukaburu sio Rangi ya ngozi unaweza kuwa Mbantu na na ukawa Kaburu.Africans by Africans si Mbaya, later on wana share, lakini si hao makaburu
Weka ushahidi vinginevyo funga bakuliFranklin Graham ni tapeli tu kama wakina Mwamposa na Geor Davie
😇Weka ushahidi vinginevyo funga bakuli
Kumbe Franklin Graham ni Evel to the CORE😇
Hakuna mweusi wa kununua shamba la mzungu afrika kusini,Sasa huu mpango wa kuwanyang'anya Ardhi bila fidia ni hatari sana kwa property zao?!
Kama ni mimi Farmer naliweka shamba langu sokoni naliuza halafu nachukua fedha zangu naenda kununua shamba lingine South America.