ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

huyu jamaa anatisha sana, hapo bado hujaelezea project yake ya neuralink

Baada ya kufatilia kwa ukaribu ile project yake ya Huperloop nikaona jamaa anafikiria mbalisio nje ya box,yaani hawazi kama kuna box [emoji2].

Kusafiri kwenye chombo kilichopo ndani ya Man made vacuum(no friction), ofcoarse lazima speed iwe kubwa.
 
....jamaa alikataa anasema hakuwahi kuvuta hiyo kitu kabla...
 
He's a devil
Kuna machache kuhusu yeye ya kutisha ambayo huyajui.
Wee jamaa nimekukubali...hakika wewe ni mwafrika kamili bila shaka yoyote.

Maana kwa mwafrika jambo lolote lililo nje ya uwezo wake wa kufikiri huwa ni la shetani/uchawi.
Uliponimaliza ni pale ulipoamua kumwita Musk ni SHETANI kabisa!

Dah... we jamaa kiboko😅
 
Namkubali sana huyu jamaa,nasubiria kwa hamu hapo internet itakapokuwa ya bure na yenye kasi ya ajabu,yaani hapa itakuwa gharama imebaikia ya kulipia muda wa maongezi na sms tu...
 
ema huyu jamaa anapata credits nyingi kuliko engineers wake wanaofanya hayo mambo yawe possible. He's a man of ideas but his engineers do the real work
Ndivyo inavyokuwaa. Kwani steve jobs tofauti na ideas na vision allikuwa na nini? akuwa enineer wala programmer. Hata idea ya ipone aikutoka kwake na kwanza aliipinga mwanzoni. But nani alipata credit? Ni yeye na akawafukuza kazi engineers watatu walioshiriki katika kuiteneneza wile he was on stagge introducing iphone to the world kwa kufuta namba zao kwenye phonebook ya iphone kama vile anawaonyesha watazamaji inavyofanya kazi lakini kwa wafanyakazi walijua kuwa they were fired.
 
Binafsi namkubali sana huyu jamaa
 
Namkubali sana huyu jamaa,nasubiria kwa hamu hapo internet itakapokuwa ya bure na yenye kasi ya ajabu,yaani hapa itakuwa gharama imebaikia ya kulipia muda wa maongezi na sms tu...
[emoji16][emoji16][emoji16] Ganda la ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…